Wafanyabiashara wakubwa jijini Dodoma wagoma, maduka yafungwa

 
Tatizo hawanaa umoja, wakitekenywa wachache kazi inaendelea
 
Mwenyekiti wa wafanyabiashara alisema kufika mwezi wa nane mambo yatakuwa safi hapo kariakoo lakini Leo low iq anasema sababu ya mgomo ni siasa mhhhhhhh nimechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…