Wafanyabiashara wanaochukua bidhaa Afrika Kusini na Uganda

Habari za leo kaka..mimi ni mfanyabiashara. .naomba kujuwa kampuni au process ya kuagiza APPLE kutoka South Africa to Tz online Ili yanifikie .
Naanzia wapi .bado niko gizani
Maana ukinnunua kwa hapa hakuna faida.
 
Habari za leo wakuu .mimi ni mfanyabiashara.nahitaji kuanzishq biashra ya matunda ku import from South Africa to Tz. Especially apples, zabibu kijani na nyekudu (seedless grapes) makungwa na mengine..naomba kujuwa kampuni au process ya kuagiza APPLE kutoka South Africa to Tz online Ili yanifikie .

Au kama ni kwenda yako wapi South..
na atleast niwe na mtaji wa sh. Ngapi kuanzia?
process ni ipi ili niweze kufanikiwa.
Naanzia wapi .bado niko gizani
Maana ukinnunua kwa hapa haluna faida.

Shukurani sana wadau
 
Matunda yapo Johannesburg fruit Market bei huwa inabadilika hasa kwa zabibu na apple kutokana na msimu wao huko ila huwa haibadiliki sana...
Biashara ya apple nadhani itakua inalipa kama utapakia Kontena lako moja kwa moja kutokea Cape Town na ukalipokea daslm haichuki muda mrefu kufika maana kwa kukodi Refrigerator truck kutokea JHB mpaka Tanzania naona gharama zake ni kubwa kidogo ingawaje unaweza kupambana ukaaanza kwa Trip za mwanzoni...
Matunda naona wanalipia TBS kubali chao na kodi tuu sijui kama pana mabadiliko ya sheria Tanzania na kodi yake sio kubwa ni chakula hicho na pia kinazalishwa kwenye Jumuiya ya SADC...
Bei inetofautiana kutokana na rangi red au green na idadi ya Apple ndani ya box ntauliza kwa sasa hivi wananunua rand ngapi maana mimi nipo kwenye field ingine kabisa kwa sasa...
 
Ume mfafanulia vzr sana, tumalizie na gharama kwa ujumla, soko Bongo uhakika hv?
 
Soko lipo Arusha kwenye Camp zao za watalii wanahitaji mpaka vitunguu na mayai ya SA...sema matunda yanhitaji uwe na storage ya Freezer ambalo uwe na umeme na Generator ili uweze kufanya biashara ya uhakika ila vitu kutoka SA ni chocolate pamoja na pipi zao zinapatikana karibu na Cash n carry hapo JHb maeneo ya viwandani pamoja na mafuta ya kupakaa Cosmetics naona hii ndio biashara isiyo na mawazo mengi kuliko mambo ya matunda...
 
Mimi mtu akitaka kwenda kununua cosmetics au Chocolate naweza kukupa ramani ukaondoka mwenyewe mpaka unafika dukani na unapakia mzigo na unarudi SA hata hapa hapa JF bila hata ya kuonana na mtu yeyote...
Mkuu- fafanua kidogo kuhusu soko la chocolate ,biashara yake ikoaje kwa Tanzania
 
Mkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...
Chocolate zipo Jumbo,Cash n carry na maduka makubwa yote yalio karibu na hapo..
 
Hii ya uganda nimeipenda sana, hivi inakuwaje ug vitu bei rahisi kuliko sisi wene bandari?
Kodi kwao sio kubwa na hakuna kukamatana risiti mtaani kwenye bidhaa za kwenye mifuko hata magari used Uganda yapo bei ndogo tofauti na Tanzania kwa sababu ya kodi wao inalipika Tanzania pana magari Kodi wanataka 93M sijui walifikiri nini hawa TRA...
 
Mkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...
Chocolate zipo Jumbo,Cash n carry na maduka makubwa yote yalio karibu na hapo..
Roughly ktk hii biashara ya ma sweets km mtaji wa kiasi gani inaweza kwenda vzr labda
 
Mkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...
Chocolate zipo Jumbo,Cash n carry na maduka makubwa yote yalio karibu na hapo..
Mkuu hongera sana kwa kutoa information zenye faida na kujibu maswali yenye vision.
Ila bado niko na maswali zaidi ya kuuliza japo wadau wengine wameshauliza.
1.Je kwa mtu anayeanza biashara hii ya chocolate na cosmetics inatakiwa minimum capital iwe kiasi gani?
2.Je mtu anaweza akaanza kwa kwenda kufuata mzigo South Africa bila kuandaa soko maalumu Tanzania?Je hizi bidhaa ni hot cake kiasi kwamba hata nisipoandaa soko nikija nazo nitakuwa na uhakika wa kuziuza on time?
3.Je usalama uko vipi South Africa kwa mfanyabiashara anayekwenda kuchukua mzigo?
4.Je kuna cargo agents ambao wanaweza kuzisafirisha bidhaa hizo kwa ndege ili mtu akienda kukusanya mzigo anamkabidhi Cargo agent kisha anarudi kwa bus wakati mzigo wake umeshatangulia kwa ndege?
 
Back
Top Bottom