AMEN!Shukran sana mkuu, hizi details zitawasaidia wengi
Hio ni ya lori.unapokelea dar.na wanatumia kama wiki moja hivi kufikisha dar.Hii ni kwa basi eeh? Mpaka unafika hapa si ndio?
Ume mfafanulia vzr sana, tumalizie na gharama kwa ujumla, soko Bongo uhakika hv?Matunda yapo Johannesburg fruit Market bei huwa inabadilika hasa kwa zabibu na apple kutokana na msimu wao huko ila huwa haibadiliki sana...
Biashara ya apple nadhani itakua inalipa kama utapakia Kontena lako moja kwa moja kutokea Cape Town na ukalipokea daslm haichuki muda mrefu kufika maana kwa kukodi Refrigerator truck kutokea JHB mpaka Tanzania naona gharama zake ni kubwa kidogo ingawaje unaweza kupambana ukaaanza kwa Trip za mwanzoni...
Matunda naona wanalipia TBS kubali chao na kodi tuu sijui kama pana mabadiliko ya sheria Tanzania na kodi yake sio kubwa ni chakula hicho na pia kinazalishwa kwenye Jumuiya ya SADC...
Bei inetofautiana kutokana na rangi red au green na idadi ya Apple ndani ya box ntauliza kwa sasa hivi wananunua rand ngapi maana mimi nipo kwenye field ingine kabisa kwa sasa...
Soko lipo Arusha kwenye Camp zao za watalii wanahitaji mpaka vitunguu na mayai ya SA...sema matunda yanhitaji uwe na storage ya Freezer ambalo uwe na umeme na Generator ili uweze kufanya biashara ya uhakika ila vitu kutoka SA ni chocolate pamoja na pipi zao zinapatikana karibu na Cash n carry hapo JHb maeneo ya viwandani pamoja na mafuta ya kupakaa Cosmetics naona hii ndio biashara isiyo na mawazo mengi kuliko mambo ya matunda...Ume mfafanulia vzr sana, tumalizie na gharama kwa ujumla, soko Bongo uhakika hv?
Mkuu- fafanua kidogo kuhusu soko la chocolate ,biashara yake ikoaje kwa TanzaniaMimi mtu akitaka kwenda kununua cosmetics au Chocolate naweza kukupa ramani ukaondoka mwenyewe mpaka unafika dukani na unapakia mzigo na unarudi SA hata hapa hapa JF bila hata ya kuonana na mtu yeyote...
Mkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...Mkuu- fafanua kidogo kuhusu soko la chocolate ,biashara yake ikoaje kwa Tanzania
Kodi kwao sio kubwa na hakuna kukamatana risiti mtaani kwenye bidhaa za kwenye mifuko hata magari used Uganda yapo bei ndogo tofauti na Tanzania kwa sababu ya kodi wao inalipika Tanzania pana magari Kodi wanataka 93M sijui walifikiri nini hawa TRA...Hii ya uganda nimeipenda sana, hivi inakuwaje ug vitu bei rahisi kuliko sisi wene bandari?
Roughly ktk hii biashara ya ma sweets km mtaji wa kiasi gani inaweza kwenda vzr labdaMkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...
Chocolate zipo Jumbo,Cash n carry na maduka makubwa yote yalio karibu na hapo..
NdioKumbe kuna basi la kwenda South Africa eeh?
300,000TzsNauli za basi kwa kupitia Zambia ni kiasi gani mkuu?
Zipo sinza siku hizi150,000 haizidi hapo. Na ofisi za hayo Mabasi utapata kariakoo
Mkuu hongera sana kwa kutoa information zenye faida na kujibu maswali yenye vision.Mkuu chocolate karibu nyingi unazoziona kwenye Supermarket za Tanzania zinatoka SA au UK na ukipata vibali hata ulipe kodi unapata faida naona wengi wanabeba kutokana na bei ya SA maana kule 15% kodi unaridishiwa ila mpaka mzigo upite Tunduma pana mchakato ila wapo watu SA ukiamua wanakurudishia kiasi cha VAT maana mzigo ni wa Export kiasi kingine wanafatilia wao na ndio maisha yao...
Chocolate zipo Jumbo,Cash n carry na maduka makubwa yote yalio karibu na hapo..