Wafanyabiashara wanaochukua nguo Nairobi

Wafanyabiashara wanaochukua nguo Nairobi

Shikamoo!


EASTLEIGH ni fremu za maduka kama Kariakoo....ukifika Nairobi CBD ulizia matatu za EASTLEIGH nauli haizid 30kshs ukifika zunguka ufanye shopping ukimaliZa rud River Rd. (CBD) tafuta ofisi ya SPIDER wakabidhi mzigo na kiasi cha pesa watakachokuambia kisha utakuja kupokea mzigo wako TZ kwenye ofis zao SPIDER
Dah aisee!!!!,msaada mwingine huo,mkuu nashukuru sana,nataraji kwenda mwez ujao nikachukue mzigo Kwa ajili ya msimu Wa sikukuu.nashukuru sana
 
Juzi Azam tv nimeona Tanzania wamechoma majani ya chai yaliyo toka nchini kenya.... Ujaribu kuwa makini mzingo wako usije ukataifishwa na mtaji wa biashara ukawa umeishia hapo....
 
Back
Top Bottom