Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

Tanzania ndivyo tulivyo, wanapanga mambo hawatoi taarifa, siku zikifika wanaanza kamata kamata...

Baada ya hapo anatokea kiongozi mmoja, anajifanya kuongeza muda, ila billion za faini za dhuluma washalamba...



Cc: mahondaw
 
Mfumo wa zamani, Naamini hawajautumia asilimia japo 20, Wana Uleta Mpya wataweza kweli au ndio kufaidishana.
 
Back
Top Bottom