Wafanyabiashara wengi huangamia kwa sababu ni mateja wa ukuaji, hawako tayari kushuka chini kujenga upya walichopoteza

Wafanyabiashara wengi huangamia kwa sababu ni mateja wa ukuaji, hawako tayari kushuka chini kujenga upya walichopoteza

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Kiburi cha mafanikio ni adui wa maendeleo ya muda mrefu. Ukishindwa, shuka. Jifunze. Jenga tena. Kwa unyenyekevu.

Wafanyabiashara wengi mitaji ikishuka wanataka kukopa kwasababu wanataka wawe na hali zile wakiwa peak au zaidi,

Mfanyabiashara aleizoea kufunga hesabu kiasi flani kila siku akiona biashara imeshuka kidogo tu anafikiria kukopa, kuuza assets, n.k. ili aendelee na hali ile ile, hataki kujifunza nini kimesababisha ashuke, atulize kichwa, ajijenge upya.

Mwisho wa yote haya huwa ni kupiga ngumi ukutani, Kufilisika kabisa
 
Dah, well said na inamake sense.
Kiburi na kutaka kubaki katika status ileile kumbe kunavwakatinunatakiwe uvute pumzi uanze tena kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom