Wafanyabiashara wenzangu hua mnatumia mbinu gani kutafuta siku ya kupumzika?

Biashara yoyote ikishakuwa kubwa,ajiri mtu wewe uwe unakontro mahesabu yako tu;lasivyo utakuwa mtumwa na hautofurahia pesa unayoipata
 
Mkuu unaonekana unakipaji cha biashara vizuri, nikupe ushauri kwa uswahilin kipaj chako unahitaji ukifiche. Ajiri mtu awepo dukani na ww uwepo uwe na meza na kiti utulie tu shuhuli zote mwachie afanye yeye. Hapo utapanga muda wa kupumzika na ibada.
 
Nimepitiaga hyo situation...ni maisha magumu sana..mm nilikua natoka kazini saa 9 naenda kwenye biashara ya chakula...nakaa had saa 2..kifupi nilianza kuvimba macho na yakaturn red...kumbe nikawa na fatiki...maana najihim saa 11 kwenda sokoni na buchan...!ilinisumbia sana nikadrop kazi..!..fumba macho tafuta siku 1 upumzike ..tena j3 ndo nzuri...!wateja huwa wachache..pole na hongera kwa kujituma
 
Ni kweli ndugu....maana sometimes ht mda wa kufua nakosa...!!sema ntafungua ila ntawah kufunga...!!saa 7 tu nafunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…