Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Biashara yoyote ikishakuwa kubwa,ajiri mtu wewe uwe unakontro mahesabu yako tu;lasivyo utakuwa mtumwa na hautofurahia pesa unayoipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ndugu....maana sometimes ht mda wa kufua nakosa...!!sema ntafungua ila ntawah kufunga...!!saa 7 tu nafungaNimepitiaga hyo situation...ni maisha magumu sana..mm nilikua natoka kazini saa 9 naenda kwenye biashara ya chakula...nakaa had saa 2..kifupi nilianza kuvimba macho na yakaturn red...kumbe nikawa na fatiki...maana najihim saa 11 kwenda sokoni na buchan...!ilinisumbia sana nikadrop kazi..!..fumba macho tafuta siku 1 upumzike ..tena j3 ndo nzuri...!wateja huwa wachache..pole na hongera kwa kujituma
Unapiga biashara gan...Mkuu mm huwa nasinzia kwenye kiti changu dk mbili tatu pale wateja wanapopungua, hyo ndio kupumzika kwangu lkn uniambie nifunge nikalale au nitenge siku moja nisifungue yaaaan nitakufukuza kwa mapanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mjaaa asili ya mali mkuu.Unapiga biashara gan...
One love
Ahahahahha nakubali