Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machineMkuu nyoosha maelezo ueleweke.
Wewe na mfanyabiashara mwenzako mnauza hizo mashine au mnataka kununua?
Mkuu nyoosha maelezo ueleweke.
Wewe na mfanyabiashara mwenzako mnauza hizo mashine au mnataka kununua?
nilidhani ni mimi ndio sielewi, jamaa nina uhakika hata yeye akisoma hawezi kuelewa alichotaka kumaanisha.Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
Mkuu nyoosha maelezo ueleweke.
Wewe na mfanyabiashara mwenzako mnauza hizo mashine au mnataka kununua?
Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
nilidhani ni mimi ndio sielewi, jamaa nina uhakika hata yeye akisoma hawezi kuelewa alichotaka kumaanisha.
Mwenyewe cjamuelewa kabisaaa
Duh huyu darasa la saba hakumaliza huyu hata kumuelekeza mtu hajui sio kutangaza biasharaHalafu mkikosa wateja mnajidanganya mtu kawaloga kumbe mbajiroga wenyewe kwa kuwa na njia hii ya kutangaza bidhaaa.
Utangazaji huu utang!za na wezi wasio jua mbele wala nyuma ya walichoiba.. wakiwa hawana hata ka manuo
Mkuu na wewe ndo umevuruga kabisa sijakuelewaHalafu mkikosa wateja mnajidanganya mtu kawaloga kumbe mbajiroga wenyewe kwa kuwa na njia hii ya kutangaza bidhaaa.
Utangazaji huu utang!za na wezi wasio jua mbele wala nyuma ya walichoiba.. wakiwa hawana hata ka manuo
Mbajiroga,tang!za na manuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu na wewe ndo umevuruga kabisa sijakuelewa
Yaani ni shida halaf unakuta mtu Kama huyo ni mtu mzima na ana watoto wanaenda shule je ataweza kuwarekebisha watoto wake wanapopata mabuyu shuleni?Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
Mkuu mbona mimi nimemuelewa kiurahisi sana,,,, huyu anaonekana ni mtu kutoka Zanzibar,,,, anasema KUNA UHITAJI yaani KUNAHITAJIKA,,, au ANATAFUTAWabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
Dah aisee inawezekana mkuu.Mkuu mbona mimi nimemuelewa kiurahisi sana,,,, huyu anaonekana ni mtu kutoka Zanzibar,,,, anasema KUNA UHITAJI yaani KUNAHITAJIKA,,, au ANATAFUTA
Mkuu nyoosha maelezo ueleweke.
Wewe na mfanyabiashara mwenzako mnauza hizo mashine au mnataka kununua?
Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
nilidhani ni mimi ndio sielewi, jamaa nina uhakika hata yeye akisoma hawezi kuelewa alichotaka kumaanisha.
Mwenyewe cjamuelewa kabisaaa
Aina hii kwa mashine mbili,.Ndiyo nini?
Halafu mkikosa wateja mnajidanganya mtu kawaloga kumbe mbajiroga wenyewe kwa kuwa na njia hii ya kutangaza bidhaaa.
Utangazaji huu utang!za na wezi wasio jua mbele wala nyuma ya walichoiba.. wakiwa hawana hata ka manuo
Wakuu, amemaanisha KUNAUHITAJI,,,AU KUNAHITAJIKA,,KUNATAKIKANA,,,KUNATAKIWA,,,Duh huyu darasa la saba hakumaliza huyu hata kumuelekeza mtu hajui sio kutangaza biashara
oooh kuna karakana ipo kinondoni wanatengeneza hizoWakuu, amemaanisha KUNAUHITAJI,,,AU KUNAHITAJIKA,,KUNATAKIKANA,,,KUNATAKIWA,,,
yaani kwakifupi amemaanisha kunamtu ANATAFUTA AINA HIZO ZA MASHINE,,
mdau anaonekana ni mtu kutoka Zanzibar
Mkuu ni kiswahili fasaha kabisa,Wakuu, amemaanisha KUNAUHITAJI,,,AU KUNAHITAJIKA,,KUNATAKIKANA,,,KUNATAKIWA,,,
yaani kwakifupi amemaanisha kunamtu ANATAFUTA AINA HIZO ZA MASHINE,,
mdau anaonekana ni mtu kutoka Zanzibar
Studio pale IPO barabarani kabisaNdugu, kinondoni sehemu gani?