Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
Matangazo ya namna hii wala sijisumbui kujibu wala kuchangia