Wafanyabiashara wenzangu kuna hitaji la "Mashine ya kukunia nazi" kwa mfanyabiashra mwenzetu kwa mahitaji ni mashine mbili.

Wakuu, amemaanisha KUNAUHITAJI,,,AU KUNAHITAJIKA,,KUNATAKIKANA,,,KUdaNATAKIWA,,,

yaani kwakifupi amemaanisha kunamtu ANATAFUTA AINA HIZO ZA MASHINE,,

mdau anaonekana ni mtu kutoka Zanzibar
Daah.. atakuwa anauza hzo, ndo maana kaweka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…