Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uandae daftari la mahudhurio[emoji23]Mko wengi sasa jamani nashindwa hata kujua nianze na yupi nimalize na yupi[emoji22]
Naomba niwe rifiki yako tafadhari mi niko shinyangaJamani watanzania adi nguo za ndani tunanunua nje ya nchi ilihali za kushona tuu apa kama za kike visilesi lesi tuu wamedizaini [emoji56]
KaribuNaomba niwe rifiki yako tafadhari mi niko shinyanga
Ukianza na mimi siyo mbaya..Mko wengi sasa jamani nashindwa hata kujua nianze na yupi nimalize na yupi[emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe nawe mchelewaji siku zote mbona [emoji28] ngoja kwanza upitwe
pitweee weee ili akili ikukae sawa maana umezidi kubaki nyuma kama mkia[emoji4]