Wafanyabiashara ya Ushonaji (Tailoring) nendeni na wakati

niliwaza pia anaweza kuwa na saidia fundi akamkabidhi nguo za kurekebisha tu sababu mafundi wengi hawatoi hii huduma na uhitaji ni mkubwa
 
Jamani watanzania adi nguo za ndani tunanunua nje ya nchi ilihali za kushona tuu apa kama za kike vilesilesi tuu wamedizaini [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…