Wafanyabishara wenzangu, hali ipoje huko mlipo? Mzunguko upoje?

Wafanyabishara wenzangu, hali ipoje huko mlipo? Mzunguko upoje?

Mi nilianza kuona mzunguko mgumu kwanzaia mwezi wa sita nikajipa moyo labda wazazi wanalipa karo so tuvumilie ila ad saiv mwez wa nane biashara ni ngumu na mzunguko ni mdogo mno

Ila kito nilichohisi sku izi watanzania hawana pesa so wanangoja mwaka wa fedha uanze serikal itoe pesa ziingie kwenye miradi my be inaweza saidia maana skuizi pesa nying tunapata kutoka kwenye miradi ya serikal ila wananch hali ngumu
 
Habarini Jamani, Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko !
 
Huu uzi unanifariji kulingana na ninayopitia kwa sasa unanifanya nione sipo peke angu
 
Mnaweza kuchangia pia tujue pia huduma hapo home hazijatetereka ukilinganisha na miezi mitatu nyuma, msosi ni uleule au kuna mabadiliko, king'amuzi kimelipiwa? Vipi hasira
😀😀Eti hasira, unamaanisha mtu akiwa hana hela anakuwa na hasira hasira muda wote
 
Back
Top Bottom