Tumia umojaMbaya sana,wateja hatuna hela mku
Mteja Sina hela mkuu😊Tumia umoja
Habarini Jamani, Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko !
😀😀Eti hasira, unamaanisha mtu akiwa hana hela anakuwa na hasira hasira muda woteMnaweza kuchangia pia tujue pia huduma hapo home hazijatetereka ukilinganisha na miezi mitatu nyuma, msosi ni uleule au kuna mabadiliko, king'amuzi kimelipiwa? Vipi hasira
[emoji28][emoji28][emoji28] Balaaa[emoji3][emoji3]Eti hasira, unamaanisha mtu akiwa hana hela anakuwa na hasira hasira muda wote