Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

Hawa Watatu nilio na Historia nao Fatma Abdallah Chikawe, Mohammed Mohammed na Masoud Lihenye nao wapo / ni Wahanga wa hii Ajali?
 
Mungu awaponye haraka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huo mlima ni hatari sana huwa siyo salama kuwa nyuma ya maroli kwa umbali mfupi ni salama kuwa angalau mita 15
 
Hao jamaa ni mandezi sana wanavizia kwa juu maana wanajua kwamba lazima uovertake maana malori hayawezi panda mlima huo vizuri...
Ni point ya hiyo, huwa wanaweka kambi hapo muda wote. Uzuri ni kuwa Angalau huwa tuna uhakika Wa usalama wakiwepo hapo. Maana hata ajali ikitokea, inashughulikiwa haraka haraka.
 
Watu 12 na mizigo kwenye kipanya watakuwa wamerundikana.
 
Aiseee kipanya na watu 12 huu ni uzembe kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…