whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Habari huku wakubwa.
Kuna tetesi kuwa wafanyakazi wapatao 200 na zaidi wamestaafishwa kinyama bila huruma wangali wadogo na mchango wa taifa bado unawategemea.
Wamepewa taarifa ya maamuzi hayo tarehe 31/july/2014 na hadi kufika tarehe 8 wote walikuwa out. Waajiriwa wote hawa walikuwa kwenye ajira ya kudumu yaani permanent staff na vigezo vilivyotumika ni wale wenye kulipwa mishahara mikubwa na PIA kuwa covered na matibabu.
Sasa ndani ya tetesi hii wanasheria nyie huku ndani mnaona taratibu za redundancy kwa mujibu wa sheria za kazi za Tanzania umefuatwa? Au wahindi waadabishwe?
Maana nijuavyo Mimi notice hutolewa walau miezi mitatu kabla sasa hii wiki moja tu mtu hana ajira na hali hii kweli tutafika.
Naomba jukwaa hili litazame kwa jicho la kisheria na kutoa ushauri.