Wafanyakazi 200 vijana wastaafishwa kinyume cha sheria

Wafanyakazi 200 vijana wastaafishwa kinyume cha sheria

Naskia jamaa wameacha staff wanaowalipa 270,000/ tu. Hapo wateja wa Airtel wategemee huduma mbovu sana. Unategemea kwa mshahara huo watafanya kazi kwa moyo? Yaani hii Ison/ Spanco ni kizunguzungu tu.
 
Vijana ebu tuachane na fikra za kuajiriwa makampuni mengi yana outsource kazi kwahyo wahindi wanatake over na wahindi ni wabahiri kinoma watakuenyesha mwezi mzima kwa 250k....Kama ISON hailipi vizuri nenda eurolink au infinity.
 
Back
Top Bottom