Wafanyakazi 650 wafyekwa Kenya Airways (KQ)

Wafanyakazi 650 wafyekwa Kenya Airways (KQ)

Hao wanaokejeli ni minority, Tz majority wapo shamba mkuu, pia hao wanaokejeli ndio wale wale wenye kaexposure ka kikenya..... with Boldest fonts “English my ass”
Alaaa!!exposure ya kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya umeskia wapi mtu akiogea lugha za asili anakejeliwa km hko kwenu..

Tena hko mtu akizidi sana wanamtenga
 
Lugha za asili my ass, unafikiria tz hatuijui vizuri..
Kwn siku hizi mumeacha kuwakejeli wale ambao wanaongea kikabila hko mijini na kuwaona km washamba vile
Tanzania lugha za mabila kwanza
Lugha ya taifa 2
Lugha rasmi/international 3.

Usichojua, Tanzania kila kabila lina watani wake wasiopungua watano. Hivyo kutaniana ni sehem ya maisha ya Tanzania
 
Mwanaume mzima with ndevu anatoa wapi hii uongo wote kama a FEMALE without blinking.
Bila facts ni story kama novel.
Ila ukiwafahamu hawa hutokaa ukajiumiza bichwa, huwa kama mahanithi vile,madume-jike mahuntha,zao majungu,stori za vijiweni,uwongo uwongo,skendo,ngono,masengenyo,mziki na kila aina ya takataka,hususan waume wamebobea wa kule , waswahili ni laana.
 
Kweli kabisa vidume na tabia za kibinti binti hivi
 
Back
Top Bottom