Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bila kupiga dili nyama utakula mara moja tu kwa mwezi.
Bila kupiga dili utapanda daladala mpaka makonda wakukariri sura.
Bila kupiga dili huwezi kuwa na banda la biashara
Bila kupiga dili ndugu na jamaa lazima uwazimie simu maana huna cha kuwasaidia.
Tufanye Mshahara wako ni sh. 700,000 ambayo ndiyo take home.
Ukiacha 20 nyumbani kama kodi ya meza unabakiwa na laki 1. Laki moja kuna vocha, nauli, dharula, michango, loss, simu, nguo, watoto shule. Haitoshi kabisa lazima udate.
Ukiacha 15 kama kodi ya meza unabakiwa na 250k . Kuna sadaka, michango, vocha, viatu, dharula, watoto shule, maji , nauli. Taka, ulinzi shirikishi, umeme, kodi ya nyumba.
Lazima udate.
Ukikopa hapo utapata take home sh. Laki 3 . Haya umekopa umefungua biashara imebuma. Au umekopa umejenga huko chanika. Kwa miaka 7 uta survive vipi na laki 3 yako ya take home? Hapo ndio mwanzo wa top up ya Kila mwaka mpaka unastaafu unakufa kwa pressure unazikwa.