Wafanyakazi/Maofisa Serikalini muwe serious na kazi!!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010


Kibosile wa Mamlaka ya Mbegu " akikagaua" mbegu huko Arusha.
Jamani tuwe serious na kazi.
Mtu anakagua kavaa suti ya ofisini
Viatu si vya kwendea shambani
Tai juu
Mkononi simu
Kwa watu tulio sekta za Field tunajua ukaguzi wa kina unahitaji nguo za Field, zinazoendana na hali hiyo.

Hapo kama si usanii ni nini?

Ref Guarduian: Leo tarehe 1 July 2026.
 
Mbona anatumia mbinu za kale sana kufanya kazi
 
Kujipa promo tu, hakuna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…