Wafanyakazi maskini Watanzania hupigwa kichapo cha aina ya kung-fu na Wachina

Wafanyakazi maskini Watanzania hupigwa kichapo cha aina ya kung-fu na Wachina

Hiyo picha huwa mnaipigia debe lakini binafsi hadi leo sijawahi kuona au kujua nini kibaya hapo, wao hapo ni walinzi wanapigishwa push up, sasa hebu nisaidie kuelewa nini kipya.
Mchina kama ameamua walinzi atakaofanya kazi nao lazima wapitie mafunzo ya ukakamavu, nini tatizo.

Ni tofauti sana na Watanzania wanaopitia kichapo cha karate kila siku na kunyimwa mishahara.
Na huyo hapo chini anayepigwa fimbo na pili inamaana hadi kampuni za ulinzi ni za wachina sasa ni Wakenya mna faida gani?
 
Na huyo hapo chini anayepigwa fimbo na pili inamaana hadi kampuni za ulinzi ni za wachina sasa ni wakenya mna faida gani?

Anapigwa fimbo wapi mbona mnajifanya kujua zaidi ya uwezo wenu, wapi hicho kiboko kwenye picha. Walinzi Wakenya kufanyishwa push up mbona inakua breaking news Tanzania yote, huwa mnakaa kiumbea mbea sana nyie.

Hizi hapa chini picha za walinzi wengine wa Kenya wakifanya mazoezi, nazo mzipigie makelele, mnafikiria hawa ni wale wenu hushinda na magobole kutwa wakisinzia

_77689468_security1_1920.jpg
 
MK254,

Unafikiri kuna mbongo anaweza pigwa na mchina Tz? This was exaggerated, watu hawawataki wachina, in fact it was a fight between men they never even got to throw punches before people intervened. Everyone in Chunya doesn't want Chinese, they have been building that road since 2000 and it hasn't gotten any better. The road connects Mbeya and Tabora.

It was just a way of ridding them.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Yaani huu uzi ni wa 2018? Ngoja wabongo waje na zile longolongo zao. Hawa watu kwa domo domo hamna zaidi yao.
 
Wanaume Wakenya wanapigwa na wake zao sembuse Wachina. Hao Wachina wanaotandika viboko si wanaume tu.
 
"Ikitokea wakabishana wanawapiga kung-fu na kuwatishia kuwaua kwa risasi....". Angalau hii inasound na iko reasonable kuliko kuchapwa viboko na mwanaume wakati hajakutishia hata na silaha.

Kupigwa kungfu kama za kwenye movie ni balaa, bora viboko, hayo mavitu huwa hatari yaani unaachwa hoi.
Halafu mnavyotia huruma, yaani baada ya kupigwa hizo karate/kungfu unafukuzwa bila mshahara wala chochote.
 
Tabu sana mwanaume kucharazwa bakora aisee, na still akatega makalio achapwe bila resistance yoyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa kungfu kama za kwenye movie ni balaa, bora viboko, hayo mavitu huwa hatari yaani unaachwa hoi.
Halafu mnavyotia huruma, yaani baada ya kupigwa hizo karate/kungfu unafukuzwa bila mshahara wala chochote.
Bora nichapwe kungfu kuliko kuweka kalio chini kucharazwa bakora. Tena huyo mwanaume Mkenya alilia wakati anafanya mazungumzo na bosi wake Mchina.
 
Bora nichapwe kungfu kuliko kuweka kalio chini kucharazwa bakora. Tena huyo mwanaume Mkenya alilia wakati anafanya mazungumzo na bosi wake Mchina.

Sasa kwanza hao maskini migodni labda hawajawahi hata kuona movie wajue kungfu ni kitu gani, wanashangaa wanavyodondoshwa na kupigw mitama. Hehehehe nimecheka japo inatia huruma.
 
Sasa kwanza hao maskini migodni labda hawajawahi hata kuona movie wajue kungfu ni kitu gani, wanashangaa wanavyodondoshwa na kupigw mitama...hehehehe nimecheka japo inatia huruma.
Watu wa migodini ni maskini? Unadhani ni migodi ya kuchimba mawe ya ujenzi kama uko Turkana kwenu. Madini yana pesa ndo maana mnakuja Mererani na sisi tunaenda Msumbiji.
 
Watu wa migodini ni maskini? Unadhani ni migodi ya kuchimba mawe ya ujenzi kama uko Turkana kwenu. Madini yana pesa ndo maana mnakuja Mererani na sisi tunaenda Msumbiji.
Ahhhh wapi, mlivyo maskini migodi yote inatafunwa na mabeberu, nyie mumeachiwa mahandaki tupu.
 
Unaenda mbali kwa Wachina ,sisi wa Afrika kwa Waafrika huwa tunafanyana nini ? Unakumbuka majuzi tu South Africa walikuwa wanawafanya nini wahamiaji ?
Ni matukio mangapi yapo Tanzania kwa watu kufia mikononi mwa Jeshi la Polisi ?

Kuna miili ilielea mto ruvu Mwigulu Nchemba akatuambia ni wahamiaji haramu kwamba wana stahili kifo sasa kipi bora kifo au Mkong'oto wa Wachina ?

Majuzi uwanja wa Taifa muandishi alipigwa mpaka akavuliwa nguo halafu IGP anakuja na sababu fyongo za kuwatetea hao polisi ,If these are the priests unategemea nini ?
Ngozi nyeusi laana tu
Umesahau kumkumbusha na wale wanne waliouliwa kwa sababu ya karantini na yule alie uliwa nguo mtaani akiwa anaendelea kula viboko vyote Kenya hiyo lakini hakuviona .napia habali inasema wachina watimuliwa kwa kuwapiga wa TZ ingekuwa wanaendelea kuchapa kazi hapo kweli kumu hatua imechukuliwa je wale police waliouwa raia wanne kisa korona wamefanywa nini?
 
Back
Top Bottom