Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

Nami sijapata hadi leo. Hakuna chakula nyumbani, watoto wamefukuzwa shuleni sababu ya ada, mwenye nyumba anahitaji kodi ya pango, yaani hali ni mbaya!
 
Back
Top Bottom