Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini

najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi!

kuna vitu Rais either anapigwa chenga makusudi na waziri wake wa fedha maana naye anautaka Urais hata kesho!
sasa asipoangalia kila tamko lake litakuwa linapigwa chini na kuathiri utendaji wa wafanyakazi.

nakumbuka sensa ya 2012 kulikuwa na udanganyifu mwingi hasa nje ya miji huko watu walikuwa wanapita nyumba mbili tu then kungine anapuyanga kumalizia kazi yake.

Wafanyakazi msiangushe zoezi hili
 
Hawawezi thubutu kule kuna kiapo na huku chini wako wachache sana.
 
Mi nawashauri tu ...polisi waongozane na makarani kukusanya data. Ushauri tu, wakitaka wachukue.

😷😷😷😷😷
 
Na huduma ma officini zitakua mbovu zaidi kuanzia Jumatatu,utakuja niambia! Rushwa nayo itakuwa wazi wazi tena hakuna cha kuficha!!
 
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Polisi naye ni mfanyakazi increment imemgusa usione hawana pa kusemea ukahisi hawaumii moyoni[emoji23][emoji23]
 
Hatuwezi fanya Huo Ujinga!! Ni wasaliti pekee wanaweza...
 
Na huduma ma officini zitakua mbovu zaidi kuanzia Jumatatu,utakuja niambia! Rushwa nayo itakuwa wazi wazi tena hakuna cha kuficha!!
Kwa hali ilivyo sio Rushwa ni namna tu ya kufidia yale matarajio yetu. Lazima pesa ipatikane atleast 50k per week.
 
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini

najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi!

kuna vitu Rais either anapigwa chenga makusudi na waziri wake wa fedha maana naye anautaka Urais hata kesho!
sasa asipoangalia kila tamko lake litakuwa linapigwa chini na kuathiri utendaji wa wafanyakazi.

nakumbuka sensa ya 2012 kulikuwa na udanganyifu mwingi hasa nje ya miji huko watu walikuwa wanapita nyumba mbili tu then kungine anapuyanga kumalizia kazi yake.

Wafanyakazi msiangushe zoezi hili
Umesema kweli kuhusu 2012. Nyumba yangu ni ya tatu toka kwa mwenyekiti wa mtaa lakini mpaka Leo miaka 10 sijawahi kumuona mhesabu Sensa kwangu na siku ya Sensa nililala kwangu.
 
hata mwaka huu inaweza kuwa zaidi kama watawahusisha wafanyakaz wengi
 
Mi nawashauri tu ...polisi waongozane na makarani kukusanya data. Ushauri tu, wakitaka wachukue.

😷😷😷😷😷
Polisi sio wahanga wa 23 asili?

Wala wafanyakazi hatafanya huo upuuzi. IPO siku watafanya lao.

Nikumbushe Mwendazake na wafanyakazi, yena walimu zilikuwa zinaiva??

Hapana......

Mwendazake alikuwa kama msaliti kwao.
 
Sisi tushalizika na tulichokipata ,hatuwezi saliti .Kama leo tumepata kidogo huenda kesho tukapata kikubwa
 
Back
Top Bottom