Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini

najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi!

kuna vitu Rais either anapigwa chenga makusudi na waziri wake wa fedha maana naye anautaka Urais hata kesho!
sasa asipoangalia kila tamko lake litakuwa linapigwa chini na kuathiri utendaji wa wafanyakazi.

nakumbuka sensa ya 2012 kulikuwa na udanganyifu mwingi hasa nje ya miji huko watu walikuwa wanapita nyumba mbili tu then kungine anapuyanga kumalizia kazi yake.

Wafanyakazi msiangushe zoezi hili
Hawana roho mby kihivyo
 
Back
Top Bottom