Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote.
Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima. Pia hawana pensheni.
Mbolea zimepanda bei, wakati masoko ya mazao yetu hayaeleweki. Hakika wakulima tunaisoma namba.
Halafu anatokea mtu ambaye kazi yake ni kubeba mafaili ofisini (siyo jembe na shoka) kaongezewa elfu 20 bure kabisa na mhe rais analalika eti haitoshi.
Namuomba mhe rais aihamishie hiyo nyongeza (20k) kwenye ruzuku ya mbolea. Rais utakuwa umejua kutufurahisha Sana wakulima.
Rais achana na hawa wafanyakazi wasio na shukurani.