Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

Tatizo ni kuwa mama aliahidi hadharani lakini amenyonga kimya kimya!! Kama asingeahidi na akaongeza hiyo (10,000/]= -------20,000/=), watu wasingelalamika ila wangeshukuru!!. Haikanushiki kuwa ahadi ni deni!!
 
Wafanyakazi watajijua na mifamilia yao, kama wamechoka kazi wakalime , wastupigie makelele kabisa
 
We jamaa huna akili kweli.Ungekuwa Nazo ungetambua kuwa hao wazee unaosema hawana bima na blabla nyingine wanawategemea watoto wao ambao ni wafanyakazi kupata mahitaji Yao mbalimbali.

Jua tu Kila mfanyakazi wa Tanzania inayemuona basi nyuma yake anao wategemezi siyo chini ya watano ambao wanategemea huo mshahara. Niishie hapo Kwa Leo.

Kwa hiyo kila mzee ana mtoto ambaye ni mfanyakazi? Wafanyakazi mpo asilimia ngapi ya watanzania wote?
 
Acha ujinga. Mishahara yenu yenyewe haikutani . Ni lini mara yako ya mwisho kumtumia mamako elfu 20? Au unadhani mm naishi sayari ya Mars sionani nao?
Kumbe unajua haikutani halafu 20k unaiona nyingi[emoji16][emoji16] wewe kweli una wivu wa kiwango cha kuweza kuus
 
We jamaa huna akili kweli.Ungekuwa Nazo ungetambua kuwa hao wazee unaosema hawana bima na blabla nyingine wanawategemea watoto wao ambao ni wafanyakazi kupata mahitaji Yao mbalimbali.

Jua tu Kila mfanyakazi wa Tanzania inayemuona basi nyuma yake anao wategemezi siyo chini ya watano ambao wanategemea huo mshahara. Niishie hapo Kwa Leo.

Serikali kaziyake sio kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kiasi cha kuwatosha na kuhudumia dependants wengine kijijini.
 
NIF=3%
KODI=13%
CWT=2%
PENSION=20 %
Jumla =38%
Baki=62%

Yesu ni Bwana
 
Back
Top Bottom