Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

Tatizo ni kuwa mama aliahidi hadharani lakini amenyonga kimya kimya!! Kama asingeahidi na akaongeza hiyo (10,000/]= -------20,000/=), watu wasingelalamika ila wangeshukuru!!. Haikanushiki kuwa ahadi ni deni!!
 
Wafanyakazi watajijua na mifamilia yao, kama wamechoka kazi wakalime , wastupigie makelele kabisa
 

Kwa hiyo kila mzee ana mtoto ambaye ni mfanyakazi? Wafanyakazi mpo asilimia ngapi ya watanzania wote?
 
Acha ujinga. Mishahara yenu yenyewe haikutani . Ni lini mara yako ya mwisho kumtumia mamako elfu 20? Au unadhani mm naishi sayari ya Mars sionani nao?
Kumbe unajua haikutani halafu 20k unaiona nyingi[emoji16][emoji16] wewe kweli una wivu wa kiwango cha kuweza kuus
 

Serikali kaziyake sio kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kiasi cha kuwatosha na kuhudumia dependants wengine kijijini.
 
NIF=3%
KODI=13%
CWT=2%
PENSION=20 %
Jumla =38%
Baki=62%

Yesu ni Bwana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…