Wafanyakazi nyoosheni mikono juu, hakuna chochote awamu ya tano

Wafanyakazi nyoosheni mikono juu, hakuna chochote awamu ya tano

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Ndio hivyo, mwenye kufuga kuku afuge, mwenye kuuza ubuyu auze, mwenye deiwaka apige.

Tayari ameshajidhihirisha kuwa hana "mpango huo" labada kama anatafuta mwanya wa kupunguza zaidi mishahara lakini sio kuongeza, imagine wale walioajiriwa mwaka 2014 hadi leo wanaishi kwa mshahara ule ule.

Hakuna nyongeza ya mshahara kwa mfanyakazi yeyote, na hakuna dalili zaidi ya kudaiwa TIN ili "kipondo" kiendelee
uzuri ni kuwa huu ni mtego wa panya kwa walioshangilia MITANO na wale ambao hawakushangilia MITANO.

Haya mzee, tumenyoosha mikono.
 
Mzee Magufuli ni mshamba sana. Sasa tunalia na kusaga meno wote.
 
Inahuzunisha

Na wanyonge tuliomaliza Chuo tukitegemea tutaajiriwa tunyanyue miguu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Five more

Mzee Magufuli ni mshamba sana. Sasa tunalia na kusaga meno wote.

Tz izi ze dona kantre.
Lazima tufanye kitu la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Kuna wimbo mmoja hivi wa zamani! Tulikuwa tukiuimba wakati wa mchaka mchaka shuleni ile mida ya asubuhi.

Sijui ni kwa nini!! Ila umekuwa ukinijia sana kwenye fikra zangu miaka hii ya karibuni!! Unaimbwa hivi;

[emoji350][emoji441]Idd Amin akifa, [emoji443]mimi[emoji448] siwezi[emoji450] kulia!![emoji449] Nitamtupa [emoji444]Kagera, [emoji445]awe🪕 chakula[emoji446] cha [emoji2424]mamba!!![emoji442]
 
Na kama rais ajae atakuwa Kasim Majaliwa basi tujiandae kuonja moto huu huu au zaidi.
 
Kumbe wafanyakazi wa Kenya na Uganda wana akili sana.
 
ngoja wakojoe dagaa,
yalitumika kuiba kura,
malipo ni hapa hapa.
 
Back
Top Bottom