Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Ndio hivyo, mwenye kufuga kuku afuge, mwenye kuuza ubuyu auze, mwenye deiwaka apige.
Tayari ameshajidhihirisha kuwa hana "mpango huo" labada kama anatafuta mwanya wa kupunguza zaidi mishahara lakini sio kuongeza, imagine wale walioajiriwa mwaka 2014 hadi leo wanaishi kwa mshahara ule ule.
Hakuna nyongeza ya mshahara kwa mfanyakazi yeyote, na hakuna dalili zaidi ya kudaiwa TIN ili "kipondo" kiendelee
uzuri ni kuwa huu ni mtego wa panya kwa walioshangilia MITANO na wale ambao hawakushangilia MITANO.
Haya mzee, tumenyoosha mikono.
Inahuzunisha
Na wanyonge tuliomaliza Chuo tukitegemea tutaajiriwa tunyanyue miguu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Five more
Mzee Magufuli ni mshamba sana. Sasa tunalia na kusaga meno wote.
Lazima tufanye kitu la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.Tz izi ze dona kantre.
Lazima tufanye kitu la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.
Kitu gani mkuu unashauri?Lazima tufanye kitu la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.
Nyanyua makalio!Na wanyonge tuliomaliza Chuo tukitegemea tutaajiriwa tunyanyue miguu kabisa.
nyoosha mikono juu huna cha kufanyaLazima tufanye kitu la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.