Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Karagwe kama chato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daa tumepatikana kwakweliKILA mtza aombe dua hii minne iliyobaki ipite salama tuanze upya.
Wafanyakazi wafanye Kama walitoa sadaka, wasubirie karagwe ifanane na Chato kwanza.
Huyo ndio zee la "Kubana matumizi" mpaka linafanya maigizo ya kulisha watu biscuits Ikulu.Ndio hivyo, mwenye kufuga kuku afuge, mwenye kuuza ubuyu auze, mwenye deiwaka apige.
Tayari ameshajidhihirisha kuwa hana "mpango huo" labada kama anatafuta mwanya wa kupunguza zaidi mishahara lakini sio kuongeza, imagine wale walioajiriwa mwaka 2014 hadi leo wanaishi kwa mshahara ule ule.
Hakuna nyongeza ya mshahara kwa mfanyakazi yeyote, na hakuna dalili zaidi ya kudaiwa TIN ili "kipondo" kiendelee
uzuri ni kuwa huu ni mtego wa panya kwa walioshangilia MITANO na wale ambao hawakushangilia MITANO.
Haya mzee, tumenyoosha mikono.
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaNdio hivyo, mwenye kufuga kuku afuge, mwenye kuuza ubuyu auze, mwenye deiwaka apige.
Tayari ameshajidhihirisha kuwa hana "mpango huo" labada kama anatafuta mwanya wa kupunguza zaidi mishahara lakini sio kuongeza, imagine wale walioajiriwa mwaka 2014 hadi leo wanaishi kwa mshahara ule ule.
Hakuna nyongeza ya mshahara kwa mfanyakazi yeyote, na hakuna dalili zaidi ya kudaiwa TIN ili "kipondo" kiendelee
uzuri ni kuwa huu ni mtego wa panya kwa walioshangilia MITANO na wale ambao hawakushangilia MITANO.
Haya mzee, tumenyoosha mikono.
We jamaa vipi?. Uzi unahusu suala la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi,kwamba tangu JPM aingie madarakani hajaongeza na hakuna dalili kuwa ataongeza mishahara.Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Na kwa nini mishahara iongezwe wakati gharama za maisha zimepungua na pesa imepata thamani?We jamaa vipi?. Uzi unahusu suala la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi,kwamba tangu JPM aingie madarakani hajaongeza na hakuna dalili kuwa ataongeza mishahara.
Aliyezungumzia mambo ya kupiga dili na kuishi kiujanja ni nani?.
Endelea kukaa kwa shemeji yako Goba wasted sperm.Na kwa nini mishahara iongezwe wakati gharama za maisha zimepungua na pesa imepata thamani?
Shule bure
Huduma za afya bure
Sasa nyongeza ya nini?
Jaribuni kua wazalendo...
Bora ungesema mishahara ipunguzwe na fedha ziende kwenye shughuli za maendeleo za ki mkakati
Kama upo 'serious' na hiki ulichoandika basi uko na shida mahali fulani.Na kwa nini mishahara iongezwe wakati gharama za maisha zimepungua na pesa imepata thamani?
Shule bure
Huduma za afya bure
Sasa nyongeza ya nini?
Jaribuni kua wazalendo...
Bora ungesema mishahara ipunguzwe na fedha ziende kwenye shughuli za maendeleo za ki mkakati
Kwani mkuu wewe upo nchi gani?Kama upo 'serious' na hiki ulichoandika basi uko na shida mahali fulani.
Kama unatania basi naweza kuungana nawe tuendelee kupiga soga.
Mkuu mimi nipo Ruvu nalima mboga mboga na mahindi ya kuchoma kila wiki najaza pick up ya bidhaa naenda kuuza mjiniEndelea kukaa kwa shemeji yako Goba wasted sperm.
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
*********
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea kukaa kwa shemeji yako Goba wasted sperm.
Mshahara unaongezwa kutokana na kupanda kwa Hali maishaKwa
Je wafanyakazi waliokaa tangu mwaka 2014 mpaka leo kwa mshahara ule ule,
Hawajaongezewa kwasababu walikua na ujanja gani?
Nikikutukana nitakuwa nakupa kick bora nikuache tu, siku ukifanikiwa hata kupanga chumba kimoja na ukaanza kujitegemea mwenyewe akili yako itarudiMshahara unaongezwa kutokana na kupanda kwa Hali maisha
Hivi sasa maisha ni rahisi sana mshahara upande kwa sababu gani? Watanzania tujaribu kua wazalendo mshahara upunguzwe kidogo hela iende kwenye miradi ya kimkakati
Tunalaumu bure tu lakini soooote ni mashahidi jinsi hali ya maisha ilivyo kua rahisi na mambo ni bam bam
Mkuu mimi ni mkulima hapa Ruvu nalima mboga mboga na mahindi ya kuchoma kila wiki najaza pick up ya bidhaa naenda kuuza mjiniNikikutukana nitakuwa nakupa kick bora nikuache tu, siku ukifanikiwa hata kupanga chumba kimoja na ukaanza kujitegemea mwenyewe akili yako itarudi