KERO Wafanyakazi Ofisi ya Madini Mara wanaifanya taasisi kama kampuni au biashara binafsi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ninahitaji kutoa kero kuhusu Ofisi ya Madini Mkoa wa Mara.

Wafanyakazi wengi katika ofisi hiyo wameigeuza Ofisi ya Madini Mkoa wa Mara kuwa kama kampuni au biashara binafsi.

Hii ni kwa sababu bila kutoa rushwa katika ofisi hiyo, hupati huduma au unaishia kuzungushwa hadi unachoka mwenyewe.

Pia, wamehodhi utoaji wa huduma ambazo zilipaswa kutolewa na watu binafsi au makampuni. Baadhi ya watendaji katika ofisi hiyo wamegeuka kuwa madalali.

Kwa hiyo, tunaziomba mamlaka husika zifuatilie taarifa hizi.
 
Eng. Ramadhani M. Lwamo,Executive Secretary.
Tatizo la Tume ya Madini liko na limeanzia hapa!
Asipoondolewa, hata wizi na utoroshaji wa madini hautapungua
 
Ninahitaji kutoa kero kuhusu Ofisi ya Madini Mkoa wa Mara.

Wafanyakazi wengi katika ofisi hiyo wameigeuza Ofisi ya Madini Mkoa wa Mara kuwa kama kampuni au biashara binafsi.

Hii ni kwa sababu bila kutoa rushwa katika ofisi hiyo, hupati huduma au unaishia kuzungushwa hadi unachoka mwenyewe.

Pia, wamehodhi utoaji wa huduma ambazo zilipaswa kutolewa na watu binafsi au makampuni. Baadhi ya watendaji katika ofisi hiyo wamegeuka kuwa madalali.

Kwa hiyo, tunaziomba mamlaka husika zifuatilie taarifa hizi.
ARDHI Musoma wapo vizuri sana. Tunaipongeza Timu nzima kuanzia Kamishna, Msajili na maofisa wote wa hapo Idarani.
Stay focused. Kazi na Utu.
 
Back
Top Bottom