Wafanyakazi sasa kujiachia na Riba hadi asilimia 14 kutoka benki ya CRDB


FDR yao ni kiasi gani, 12%?
 
Ubaya wafanyakazi wengi wakikopa huishia kununua magari
Umenikumbusha stori za akina kapelo gazetini; rafiki yake Kapelo anamlalamikia Kapelo kwa jamaa mwingine anasema "najua sana, Kapelo akichukua mkopo kazi ni kulewea tu", halafu yule aliyekuwa akielezwa akajibu MIMI PIA NINA MPANGO WA KUCHUKUA MKOPO LAKINI NITAULEWEA KWA AKILI SANA

Kwa hiyo ndugu mchangiaji mada, mimi nami napenda kukujulisha kuwa ninao huo mpango wa kukopa ili ninunue gari, ila nitanunua kwa kutumia akili sana. Sina gari, sasa nifanyeje?
 
Mbona hamna hata jipya hapo,kwanza ajita zenyewe zinakatizwa halafu mtu anakuja kukuambia uchukue mkopo,makampuni yenyewe hoi bin taabani.
 
Vipi kwa Wafanyabiashara?
Huku wanakamua mno.

Mwenye updates atujuze
 
Hapo kwenye kununua mikopo rekebisheni kidogo.Nilienda moja ya branch zenu niwauzie deni wakasema hadi deni lipungue kufikia nusu ya hela unayotarajia kukopa.
Nyie nunueni deni mradi linalipika na mkopaji kupata kiasi kidogo inatosha.Wakopaji wengine wanatamani tu jina la crdb lisomeke kwenye salary slip,nmb itoke.
Kubwa ni kutokana na mishahara kutopanda kwa mda mrefu,deni huchukua mda mrefu kupungua.
 
Only stupid person will trust these announcement.
Kwa ambao tumewahi kukopa kwenye mabenki mara nyingi tunajua. Hawa UVCCM ambao kazi yao kubwa ni kushangilia tu hawajui kitu
 
Only stupid person will trust these announcement.
Kwa ambao tumewahi kukopa kwenye mabenki mara nyingi tunajua. Hawa UVCCM ambao kazi yao kubwa ni kushangilia tu hawajui kitu
[emoji23] vijana mnachuki Sana na hiki chama
 
Nna mashaka na hiyo asilimia.Nahisi kinachotangazwa na uhalisia ni tofauti.
 
Hahahahaha kuna jamaa yangu alichukua milion 15, inatakiwa arudishe milion 25,600,000b for the period of six years, ukiangalia kwa undani hapo liba ni asilimia 60 na sio kama wanavyodai eti 16%
 
Mikopo mizuri,ila kwenye kununua madeni wanakosea,hadi deni liwe pungufu ya nusu ya fedha inayokopwa.
Kama ni kujiachia waachilie sasa.
 
Tafadharini jaman tunaomba mrejesho wa punguzo hilo Kama limeanza kutekelezwa
Maana na mimi soon nitajilipua ninue gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…