KERO Wafanyakazi Serikalini kwa sasa ni kama hatuna mtetezi! TUCTA wametuangusha

KERO Wafanyakazi Serikalini kwa sasa ni kama hatuna mtetezi! TUCTA wametuangusha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wafanyakazi hawana tena mtetezi wachangamoto zao,, sio vyama vyao vya kitaaluma wala sio chama chao cha wafanyakazi serikali.

Watumishi wa umma wana hali mbaya sana hasa kipindi hiki ambapo siasa za ulimwengu ziko kwenye hatari kubwa, hali ya maisha kupanda na mishahara yao kubakia vile vile huku wakikabiliana na hali ngumu za maisha,, maofisini hakuna tena kamisheni kama zamani,, hakuna semina na zikitokea wanaenda maboss zao.

Wafanyakazi wanajiuliza maswali yafuatayo :

1. Ni kweli TUCTA haikua na chakusema ?? Ili hali wafanyakazi wana utitili wa makato kwenye mishahara yao?

2. Ni kweli TUCTA haikua na chakusema ili hali watumishi wakienda kuomba mikopo kwenye taasisi za kifedha wanakutana na riba za 17% na kuendelea?

3. Ni kweli TUCTA hawaoni ongezeko la rushwa makazini? Linalotokana na ugumu wa maisha ya watumishi,, na kutopata stahiki zao?

Wafanyakazi wanajiuliza:
1. Ni lini mazingira ya kazi yatakuwa salama kwao?

2. Je!! Ni hadi migomo itokee ndio shida zao zisikilizwe?

3. TUCTA ina mamlaka gani na majukumu gani katika hali hii?
 
Tangu lini CCM ikawa mtetezi wa watanzania?

Kila mteuliwa kwenye nafasi yeyote kwa sasa ni ccm so hawawezi kuwatetea kwa chochote
 
Back
Top Bottom