Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

Kwani karatasi ya kura na kibutu kinachobaki hazina namba? Na kwenye kibutu hakuna sehemu ya kuandika namba ya kadi ya mpiga kura?
 
Moderator, kwanza kabisa acha ama kufuta au kuunganisha Uzi bila mantiki. Unatuudhi sana. Pili, ccm unayoilinda imeshachokwa sana Tanzania. Take it from me. Hao watumishi wa umma wapo 100% against ccm. Hata matisho gani yatokee ccm haipati kura kutoka watumishi wa umma. Kumbuka hawakuajiriwa kwa takrima bali taaluma. Wote wakiamua Ku"resign" nchi itaanguka. Ingekuwa si FAO la kujitoa kukataliwa, wengi awamu hii ya tano wangejitoa utumishi wa umma maana haulipi na unawaongezea umaskini.
 
Huu uzi hautafutwa tena, Hili jambo lipo sehemu zote
 
Asante sana mkuu!
 
Wanemwagwa zanzibar poslis na jkt kibao
Ila kitu wasichofahamu ni kwamba wazanzibari wamefikia level nyengine. Wazanzibari na hasa vijana wengi wanaelewa kwamba sasa hawawezi kupata haki yao ya kuchagua au kuchaguliwa kupitia sanduku la kura. Wanajuwa kwamba sasa wanatawaliwa kimabavu, na la muhimu zaidi wanajuwa kwamba sasa inabidi waitafute haki yao kupitia means nyengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…