Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

Kura ni siri na kwenye ile ballot paper haipo sehemu kwamba inaandikwa namba au chochote ipo plain Sasa watajuaje kuwa kura hiyo imepigwa na mtu fulani na amechagua ACT?ninacho fikiri ni kwamba Hussain mwinyi alikutana na makundi mbalimbali kuomba wampigie kura.
Kwani karatasi ya kura na kibutu kinachobaki hazina namba? Na kwenye kibutu hakuna sehemu ya kuandika namba ya kadi ya mpiga kura?
 
Salaam,
Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini!

Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo ambazo zimethibisha habari hizi kutoka vyanzo tofauti ikiwemo kutoka katika familia yangu binafsi zinasema kwamba; wafanyakazi kutoka wizara mbali mbali ikiwemo wizara ya afya Pemba, vikosi vya SMZ, JKU na wizara nyengine nyingi wameamriwa na mabosi wao bila haya wala soni kwamba ni lazima kura wapige CCM, yaani wapige kwa Magu na Mwinyi. Katika hali isio ya kawaida wafanyakazi wengi wa wizara tofauti wameorodheshwa information zao zikiwemo majina yao kamili, namba za kadi zao za kupigia kura, IDs zao zote za mzanzibari na zile za NIDA, vituo vya kupigia kura pamoja na namba zao za simu katika maofisi yao.

Habari hizi nimezithibitisha mimi binafsi baada ya kuzungumza na wafanyakazi waliokutwa na kadhia hio. Wengi wanasema kwamba wameshtushwa na kadhia hio na wanahofia vibarua vyao kuota majani iwapo wataamua kwenda kinyume na matakwa ya mabosi wao.

Kwa mara nyengine naomba huu uzi mnibakishie!
Moderator, kwanza kabisa acha ama kufuta au kuunganisha Uzi bila mantiki. Unatuudhi sana. Pili, ccm unayoilinda imeshachokwa sana Tanzania. Take it from me. Hao watumishi wa umma wapo 100% against ccm. Hata matisho gani yatokee ccm haipati kura kutoka watumishi wa umma. Kumbuka hawakuajiriwa kwa takrima bali taaluma. Wote wakiamua Ku"resign" nchi itaanguka. Ingekuwa si FAO la kujitoa kukataliwa, wengi awamu hii ya tano wangejitoa utumishi wa umma maana haulipi na unawaongezea umaskini.
 
Huu uzi hautafutwa tena, Hili jambo lipo sehemu zote
 
Moderator, kwanza kabisa acha ama kufuta au kuunganisha Uzi bila mantiki. Unatuudhi sana. Pili, ccm unayoilinda imeshachokwa sana Tanzania. Take it from me. Hao watumishi wa umma wapo 100% against ccm. Hata matisho gani yatokee ccm haipati kura kutoka watumishi wa umma. Kumbuka hawakuajiriwa kwa takrima bali taaluma. Wote wakiamua Ku"resign" nchi itaanguka. Ingekuwa si FAO la kujitoa kukataliwa, wengi awamu hii ya tano wangejitoa utumishi wa umma maana haulipi na unawaongezea umaskini.
Asante sana mkuu!
 
Wanemwagwa zanzibar poslis na jkt kibao
Ila kitu wasichofahamu ni kwamba wazanzibari wamefikia level nyengine. Wazanzibari na hasa vijana wengi wanaelewa kwamba sasa hawawezi kupata haki yao ya kuchagua au kuchaguliwa kupitia sanduku la kura. Wanajuwa kwamba sasa wanatawaliwa kimabavu, na la muhimu zaidi wanajuwa kwamba sasa inabidi waitafute haki yao kupitia means nyengine.
 
Back
Top Bottom