Wafanyakazi wa kampuni ya Yapi Merkezi kwenye ujenzi wa SGR wagoma kufanya kazi kutokana na Madai ya kutokulipwa kwa miezi 7

Tatizo waliomshauri JPM kuwa mradi utatumia muda mrefu na JPM alikataa na aliwaagiza wafanye kazi usiku na mchana ndio wanataka kuona kuwa ule muda waliomshauri unatimia.
 
Kwani wanalipwa mshahara na Serikali ya Tanzania? Kampuni ni ya waturuki. Ungewauliza wao sio kuja kutujazia server humu
Kama hawalipwi, wao wanatoa wapi hela za kulipa sub contractors and employees? Ukweli haufunikwi blangeti! Una tabia ya kutafuta njia yoyote ile ili utoke nje.
Kuongoza nchi sio kazi rahisi. Ni ngumu kweli kweli. Tumsaidie kiongozi aweze kuongoza kwa mafanikio. Sio kuanza kumuharibia. nawachukia sana wapambe ambao wanakula na kusahau wanawajibika mbele ya umma kuhusu mambo kama haya
 
Ila humu Kuna watu waajabu hawajaambiwa kama Yap Merkez anaidai serikali wao wanarukia tu kuilaumu serikali nadhani tuna vijana wengine hawna ufahamu wa mambo
Serikali inatakiwa imsumamie mkandarasi, kwa nini haimsimamii?
 
Ivi kuna mtu amewahi panda izo SGR at least from Dar to Moro which tunaambiwa ipo ready tayari???
Alafu wafanyakazi wa Uturuki wamegoma hawajalipwa zaidi ya miezi 7; nimefurahi wameleta wafanyakazi wao wenyewe kuliko kunyanyasa waafrika Sasa imagine Km wenzao wamewafanyia ivyo; cc ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…