Wafanyakazi wa Kiume wa kampuni ya Chloride Exide wavalia kama Wanawake kuadhimisha masuala ya Afya ya Wanawake

Wafanyakazi wa Kiume wa kampuni ya Chloride Exide wavalia kama Wanawake kuadhimisha masuala ya Afya ya Wanawake

View attachment 887383

Ni Wafanyakazi wa kampuni Chloride Exide na walivalia hivyo wakiwa kazini kama sehemu ya maadhimisho ya masuala ya afya kwa wanawake hususani saratani

Walioshiriki walikuwa Wafanyakazi wenye vyeo mbalimbali katika kampuni hiyo akiwemo Afisa Mkuu Mtendaji, Guy Jack

Meneja wa huduma kwa wateja, Stella Kamau amesema wazo hilo liliibuka katika moja ya vikao vilivyokuwa vikijadili shughuli ya kupamba wiki hii ya huduma kwa wateja

Wafanyakazi wa kike ndio waliojitolea mavazi, nguo, viatu na hata mikoba. Pia ndio waliwapodoa Wanaume hao kuhakikisha wanapendeza ipasavyo

Wanaume walifika ofisini wakiwa wamevalia mavazi ya kawaida, lakini wakabadilisha na kuvalia mavazi hayo ya kike

View attachment 887386

Mbwembwe hizo zilidumu kwa saa kadha lakini kwa baadhi kazi haingetendeka bila mavazi yao ya kawaida, na hivyo walibadilisha baada ya saa kadha.

Lakini kuna wengine waliofurahia sana na kuvalia hivyo kwa kipindi kirefu.

Ingawa shughuli kuu ilifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo eneo la viwandani, Nairobi, wafanyakazi katika matawi mengine walishiriki.

View attachment 887387

"Ofisini palipendeza sana jana. Hata tuna wazo la kuanzisha kundi la mambo ya kufurahisha ambalo litakuwa linatoa mapendekezo ya kipekee ya kufurahisha," anasema Bi Kamau.
Hiyo nayo ni habari kwa great thinker
 
Kama wanaunga mkono wanawake kwa upendo huo basi leo usiku wakatumiwe kama wanavyotumia wanao waunga mkono ifikapo usiku pale kitandani
 
Kwa nini wasibuni wazo jingine kuliko hilo?
 
Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
kumbukumbu la torati.22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume, wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke; kwamaana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
 
Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
hivi unajua ushoga unaanzia sehemu za pwani??.. mikoa ya dar,tanga,Mombasa,lamu ndo kuna mashoga balaa,ni vigumu kumkuta shoga katika mikoa ya mbeya,shinyanga,au kigoma!!asilimia kubwa mashoga ni watoto wa kiislamu,
kwa hiyo mkuu usilete udini kwenye uchoko!!
 
wala hakuna dini inayoruhusu Hayo

Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
kumbukumbu la torati.22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume, wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke; kwamaana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.

Vazi la mwaname ni lipi na vazi la mwanamke ni lipi, na hizo nguo zikivaliwa zifikie wapi kwa wote, Tiririka kwa maandiko zaidi,
Halafu nimekwambia ulete from Biblia sio taurati, taurati ni kitabu kisicho na shaka ndani yake kwa zama zile.
 
hivi unajua ushoga unaanzia sehemu za pwani??.. mikoa ya dar,tanga,Mombasa,lamu ndo kuna mashoga balaa,ni vigumu kumkuta shoga katika mikoa ya mbeya,shinyanga,au kigoma!!asilimia kubwa mashoga ni watoto wa kiislamu,
kwa hiyo mkuu usilete udini kwenye uchoko!!

Umekosa hoja sasa unaleta ushoga zaidi.
Sasa nikuambie ushoga asili yake umeanzia ulaya na marekani ambapo wakiristo ndiko kuliko na makao makuu yenu kule
 
Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi

Vazi la mwaname ni lipi na vazi la mwanamke ni lipi, na hizo nguo zikivaliwa zifikie wapi kwa wote, Tiririka kwa maandiko zaidi,
Halafu nimekwambia ulete from Biblia sio taurati, taurati ni kitabu kisicho na shaka ndani yake kwa zama zile.
mtoto yake maziwa nyama tuachie sisi kumbukumbu la torati ni kitabu cha biblia mengine nenda sunday school kajifunze.
 
Back
Top Bottom