Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Huyu jamaa naskia wanaume wa dar walimla sanaaaWatakuja kuwa kama huyu....[emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 887418
Hiyo nayo ni habari kwa great thinkerView attachment 887383
Ni Wafanyakazi wa kampuni Chloride Exide na walivalia hivyo wakiwa kazini kama sehemu ya maadhimisho ya masuala ya afya kwa wanawake hususani saratani
Walioshiriki walikuwa Wafanyakazi wenye vyeo mbalimbali katika kampuni hiyo akiwemo Afisa Mkuu Mtendaji, Guy Jack
Meneja wa huduma kwa wateja, Stella Kamau amesema wazo hilo liliibuka katika moja ya vikao vilivyokuwa vikijadili shughuli ya kupamba wiki hii ya huduma kwa wateja
Wafanyakazi wa kike ndio waliojitolea mavazi, nguo, viatu na hata mikoba. Pia ndio waliwapodoa Wanaume hao kuhakikisha wanapendeza ipasavyo
Wanaume walifika ofisini wakiwa wamevalia mavazi ya kawaida, lakini wakabadilisha na kuvalia mavazi hayo ya kike
View attachment 887386
Mbwembwe hizo zilidumu kwa saa kadha lakini kwa baadhi kazi haingetendeka bila mavazi yao ya kawaida, na hivyo walibadilisha baada ya saa kadha.
Lakini kuna wengine waliofurahia sana na kuvalia hivyo kwa kipindi kirefu.
Ingawa shughuli kuu ilifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo eneo la viwandani, Nairobi, wafanyakazi katika matawi mengine walishiriki.
View attachment 887387
"Ofisini palipendeza sana jana. Hata tuna wazo la kuanzisha kundi la mambo ya kufurahisha ambalo litakuwa linatoa mapendekezo ya kipekee ya kufurahisha," anasema Bi Kamau.
wala hakuna dini inayoruhusu Hayo
kumbukumbu la torati.22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume, wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke; kwamaana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
hivi unajua ushoga unaanzia sehemu za pwani??.. mikoa ya dar,tanga,Mombasa,lamu ndo kuna mashoga balaa,ni vigumu kumkuta shoga katika mikoa ya mbeya,shinyanga,au kigoma!!asilimia kubwa mashoga ni watoto wa kiislamu,Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
wala hakuna dini inayoruhusu Hayo
kumbukumbu la torati.22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume, wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke; kwamaana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
hivi unajua ushoga unaanzia sehemu za pwani??.. mikoa ya dar,tanga,Mombasa,lamu ndo kuna mashoga balaa,ni vigumu kumkuta shoga katika mikoa ya mbeya,shinyanga,au kigoma!!asilimia kubwa mashoga ni watoto wa kiislamu,
kwa hiyo mkuu usilete udini kwenye uchoko!!
mtoto yake maziwa nyama tuachie sisi kumbukumbu la torati ni kitabu cha biblia mengine nenda sunday school kajifunze.Biblia nzima hakuna andiko kuhusu mavazi, wanwake na wanaume wavae vipi
Vazi la mwaname ni lipi na vazi la mwanamke ni lipi, na hizo nguo zikivaliwa zifikie wapi kwa wote, Tiririka kwa maandiko zaidi,
Halafu nimekwambia ulete from Biblia sio taurati, taurati ni kitabu kisicho na shaka ndani yake kwa zama zile.