Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto

Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto

Serikali.mara ya mwisho ni lini kuingia viwandani na kukagua usalama kazini?
mnapajua SAMAKI PALE KEREGE?.
Siku nendeni alafu muwaambie tupelekeni SHIMONI KULE WANAPOOSHA MIFUKO NA KUIYEYUSHA.
NINA UHAKIKA MTALIA .
sisemi kuna nini ila nendeni mkajionee
Waelkeze tena kwani Waziri wa Kazi na Waziri wa Mazingira wapo au hawapo?
 
Hili lilitokea Mwaka Juzi/Jana Mwanza kiwanda cha nondo Nyakato steel Bomu lilipuka kwenye hayo mauji ya moto, kuna nyumba zilipata nyufa mtaani, ilikua pata shika
Alafu muhindi anakupa 5,000/- per day unachezea uji wa Chuma siku nzima ujira wako 5,000/- umasikini mbaya sana
 
Aiseee Mungu mkubwa! Ilibaki kidogo tu ningekuwa miongoni mwao kuna mtu alikuja kuniunganishia mchongo wa hicho kiwanda kipindi hicho hicho ila nilishindwa kwenda kutokana na umbali na kukosa sehemu ya Karibu ya kukaa ili nipige kazi hapo pia walisema wanaanza na shift ya usiku na mimi kwa wakati huo sikuwa na nafasi kwa kazi za usiku.
Samahani Mkuu naweza pata kazi kwenye hili kiwanda kweli? Nashida nakazi sana hata kama ni shifti ya usiku.
 
Back
Top Bottom