Waelkeze tena kwani Waziri wa Kazi na Waziri wa Mazingira wapo au hawapo?Serikali.mara ya mwisho ni lini kuingia viwandani na kukagua usalama kazini?
mnapajua SAMAKI PALE KEREGE?.
Siku nendeni alafu muwaambie tupelekeni SHIMONI KULE WANAPOOSHA MIFUKO NA KUIYEYUSHA.
NINA UHAKIKA MTALIA .
sisemi kuna nini ila nendeni mkajionee
Alafu muhindi anakupa 5,000/- per day unachezea uji wa Chuma siku nzima ujira wako 5,000/- umasikini mbaya sanaHili lilitokea Mwaka Juzi/Jana Mwanza kiwanda cha nondo Nyakato steel Bomu lilipuka kwenye hayo mauji ya moto, kuna nyumba zilipata nyufa mtaani, ilikua pata shika
WAMELALA.wakiamka wataenda.ni kitu kinachoonekana sio uchawi.wao waende waombe wapelekwe SHIMONI.Waelkeze tena kwani Waziri wa Kazi na Waziri wa Mazingira wapo au hawapo?
Hiyo avatar ni wewe mkuu? Kama jibu ni affirmative njoo PM tuyajenge.Daaaah
Mungu ni mwema watakuwa sawa tu
Ni upwiru umekukamata au unafanya makusudi? Mpigie nyeto basi,Hiyo avatar ni wewe mkuu? Kama jibu ni affirmative njoo PM tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni makosa ya kibinadamumashine inafanya kazi kwa bahati mbaya?
Samahani Mkuu naweza pata kazi kwenye hili kiwanda kweli? Nashida nakazi sana hata kama ni shifti ya usiku.Aiseee Mungu mkubwa! Ilibaki kidogo tu ningekuwa miongoni mwao kuna mtu alikuja kuniunganishia mchongo wa hicho kiwanda kipindi hicho hicho ila nilishindwa kwenda kutokana na umbali na kukosa sehemu ya Karibu ya kukaa ili nipige kazi hapo pia walisema wanaanza na shift ya usiku na mimi kwa wakati huo sikuwa na nafasi kwa kazi za usiku.
Samahani Mkuu kama una connection hapo naomba unisaidie.Kama vile ulikuwepo mkuu hiyo ndio posho yenyewe pa day
Hebu jaribu kucheki na huyu dogo 0699369675Samahani Mkuu kama una connection hapo naomba unisaidie.