Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee nchini China ili kukaribisha sikukuu ya mwezi

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi.

Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei walitengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…