Wafanyakazi wa NHIF Tanga ni wajeuri na wanajisikia mno

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Sijajua wanajikuta wao ni kina nani..
Mtu unafuatilia bima zaidi ya miezi mitatu na majibu yao ni simple tu..
Tutafuatilia na ukifika ofisini wanakupa namba ya ofisi ambayo ni 0734163431 ili ufuatilie ..
Lakini hiyo namba Haipokelewi milele na milele..
Waziri wa afya please hebu fuatilia hawa wafanyakazi wa bima Ya afya ofisi za mkoa Tanga
 
Si tanga ni nchi nzima. Kuanzia NIDA, Uhamiaji, NHIF na karibu ofisi zote za serikali. Mtu anaamka asubuhi anakwenda kazini basi anashinda amekaa tu akishahudumia watu 3. Yani mtu anakuhudumia kama vile anakupa msaada.
 
Taasisi nyingi zinazolipa vizuri wamejazana maa-single mother wanafanya kazi wakiongozwa na stress balaa!
Wanaojiita mashangazi!
 
Wengi wahaya hapo Tanga
 
Tatizo mnakuwa wanyonge sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…