Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 923
Yaani ni kwa vile huwa unaamini kuwa hapa atalipa tu sababu ana mshahara ndio maana unaona Kama anazingua vileMh kwa wafanyakaz naona wamezid
Ningemlalua kwa kauli mbaya sanaNilimkopesha jamaa mmoja, aiseee yule jamaa siku naenda kumdai daaah alichonijibu mpaka nikamshangaa alisema hivi " sina hela yako, afu we siyo mtu wa kwanza kukukopa nadaiwa na matajiri sembuse wewe unakuja kunikoromea subiri siku nilijisikia kukupa nitakupa" daah yule jamaa nilimuangalia hasira zilipanda ila nikajikqza tu nikasepa zangu maana tungepelekana monchwari
So mimi now nani ana nitatulia shidaukishakopa,bajeti ya mshahara tayari ina deni na unategemea kulipa deni ili ukikwama ukope tena......
changamoto ni linapotokea tatizo lingine kabla ya kulipa deni,yaani unakopa tena.
btw, pole sana.......akirudisha hiko alichokkopa, akija tena akakopa kama unacho usisite kumpa
jasho la mtu la halali linaenda kwa USAHIHI linapotatua matatizo ya watu wengine
unajua kwanini?
RIZIKI ni kile chakula tu unachokula,hivo vingine vyote(na pesa) ni za wengine...
KAMA RIZIKI YAKO IKIFIKA MWISHO,HAKUNA CHOCHOTE KITAKACHOFAA HATA KAMA PESA ZOTE UNAZO
NB! Jaribu kumuuliza kwanini anachelewa kulipa deni, Pia ukiwa na pesa au kitu cha malengo yako...usimkopeshe mtu kama unajua asiporudisha au akichelewesha itakuathiri.(HAPA MWAMBIE HUNA)
na kama haikuathiri ndo umkopeshe maana hutakua na haja ya kuja JF kuFUNGUA KESI YA MADAI
Basi wawe wanaweka bond vitu vya ndani au hati ya nyumbaNi kosa kisheria kukaa na kumiliki kadi ya mtu mwingine.
KweliYaani ni kwa vile huwa unaamini kuwa hapa atalipa tu sababu ana mshahara ndio maana unaona Kama anazingua vile
Hao usiwaguse kabisa 😂Wazee wa job security 😀😀
Umewahi kwenda ofisi za serikali?Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
au mwambie huu mwaka ndio unaelekea ukingoni sitaki kuanza mwaka na mawazo ya pesa ya mwaka jana...akikufuata jan mwambie ndio mwaka tunauanza hali sio nzuriDuh wewe ume nistua japo nimecheka sana
Kweli hakuna tofautiUmewahi kwenda ofisi za serikali?
Huo ubabaifu unaokutana nao ulitegemea mambo yawe tofauti kwenye issue nyingine na watu hao hao
Hiyo ni sheria inakutaka.Ukipata kadi ya benki,NIDA,NEC nk, angalia nyuma na usome maelekezo.Yapo technical na unapaswa kuyaelewa kabla haujapandishwa kizimbani kwa kwa kumiliki mali ya watu bila ruhusa.Kivip
Kk shida tupau mwambie huu mwaka ndio unaelekea ukingoni sitaki kuanza mwaka na mawazo ya pesa ya mwaka jana...akikufuata jan mwambie ndio mwaka tunauanza hali sio nzuri
l
Aah! Kaka, utakuta mtu unaishi naye vema tu tena wewe ndiyo mwema kwake. Lakini utasikia ninyi kina fulani mpo hivi na hivi, anasema mabaya yenu tu mpaka mengine unashangaa.Dah mimi mtu akinigusa kwenye kabila napita nae mazima
Ukweli mi kwamba wenye uwezo wa kuwa na ziada ni wachache sana kulingana na maisha yetu ya kila sikuKweli
HapanaHiyo ni sheria inakutaka.Ukipata kadi ya benki,NIDA,NEC nk, angalia nyuma na usome maelekezo.Yapo technical na unapaswa kuyaelewa kabla haujapandishwa kizimbani kwa kwa kumiliki mali ya watu bila ruhusa.
NB;Hukuwahi kusikia jamaa wenye microfibances/wakopeshaji wamekamatwa kwa kukutwa na kadi za benki za hao "wateja kharamu"?
Hayo mengine jiongezeni.Basi wawe wanaweka bond vitu vya ndani au hati ya nyumba
Kabisa ni kweli mimi nakutolea kauli chafu ili azidi kuongea vibayaAah! Kaka, utakuta mtu unaishi naye vema tu tena wewe ndiyo mwema kwake. Lakini utasikia ninyi kina fulani mpo hivi na hivi, anasema mabaya yenu tu mpaka mengine unashangaa.
Unabaki unajiuliza, hivi huyu hajui kulisema kabila ni kunisema Mimi, na hivi kuna hata dk 2 mi nilimfanyia haya ikiwa hizi ni tabia zetu?
Basi unapuuzia ili siku iishe, ila
"watu huwa hawasahau vile unavofanya wajisikie" Maya Angelou.
Ulizia hata vijiweni hawawezi kukunyima stories.Hapana