Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,418
Apo ni buku kumi tu umekuja kutusimanga na kutuvua nguo watumishi wote humuYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Kuna mmoja alisema tulikuwa tunaongea vzr tu akaseme wanyakyusa mna dharau sana af wachafu nika mwambia vip dada yako alizalishwa na mnyaki akakuachia umleee shahawa zake au? Mpaka leo hajawai kutoa kejali kwanguMi majibu yangu hayaendani na sura yangu ya kutia huruma Bro.
Basi napiga kimya, na ndiyo kimya milele hivo ka'mfu.😂
Ilipe basApo ni buku kumi tu umekuja kutusimanga na kutuvua nguo watumishi wote humu
Aaaah! Hiyo hata hatuiogopi siku hizi.Dawa yao mtishie kwenda kwa mwajiri wake.
Ahah sio walimu tu 😂Ume amua kuwasema walimu
Karibia wote ni wasumbufuMh swala lako halihusiani na wafanyakazi wa umma bali kinachohusika ni tabia ya uliyemkopesha
Ambae ni TAMISEMI AU SERIKALI KUU...BY THE WAY HURUHUSIWI KUKOPESHA KAMA HAUNA KIBALI CHA BOT.......Dawa yao mtishie kwenda kwa mwajiri wake.
Nishaingia hasara mpaka hapaAmbae ni TAMISEMI AU SERIKALI KUU...BY THE WAY HURUHUSIWI KUKOPESHA KAMA HAUNA KIBARI CHA BOT.......
So ukikopesha mtu jua umemuhazimisha kidugu otherwise wengine hutumia hiyo advantage kuumiza wengine
Mdogo angu mwachii akikurudishia piga chiniii oOoOO oohhh😲 utapata hasara..
Karibia wote😁Karibia wote ni wasumbufu
SawaKaribia wote😁
We usichekeshe watu sa hv!
Hao wakopeshe kama yesu kristo alivyo agiza/ alivyo tuhusia KUKOPESHA BILA KUTAZAMIA KULIPWA.......Nishaingia hasara mpaka hapa
Ngumu ase kwa utajir gani nilio naoHao wakopeshe kama yesu kristo alivyo agiza/ alivyo tuhusia KUKOPESHA BILA KUTAZAMIA KULIPWA.......
Umeandika soft sanaaaSawa mkuu
Halafu yeye kabila lake sasa lilivo😂.Kuna mmoja alisema tulikuwa tunaongea vzr tu akaseme wanyakyusa mna dharau sana af wachafu nika mwambia vip dada yako alizalishwa na mnyaki akakuachia umleee shahawa zake au? Mpaka leo hajawai kutoa kejali kwangu
Mkuu we are differ up real life nipo hivo ni swala la malezi i think ivyoUmeandika soft sanaaa
Nenda halmashauri anayofanyia muone HR wake amshughulikie. Ni kosa kisheria mtumishi wa serikali kukopa kwa watu binafsi mtaani. Ni lazima akope benki au taasisi inayotambulika na benki kuu TU!Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Mimi huwa naongezaHalafu yeye kabila lake sasa lilivo😂.
Ijubha itata mfwile.
Nilichogundua waja wana inferiority complex sana juu yetu, ndiyo vita kwa sana.
Yaani wanyakyusa:
"Mnapenda kujitenga.
Mnajiona.
Mna kiburi.
Jeuri sana.
Dada zenu ninyi eeh!
Mna dharau.
Eeh mna majungu.
Wanafiki sana.
Dharau.
Wazinzi ninyi tusiwaone hivo."
Mpaka unajiuliza kila baya letu, kwani sisi wapwa wa shetani ama?😂
Mazuri yako akhu! Hatuyaoni hayo, na madhaifu yetu hapana "mwanadamu hajakamilika"
Usikopeshe kakaNgumu ase kwa utajir gani nilio nao