Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Una matatizo hakikaYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Mimi tenaUna matatizo hakika
Ili mradi ukose amaniWatakwambia mshahara kiduchu hautoshelezi
Ila jau sana hiiHuo ni uongo kama kuna mtu mmoja kakusumbua usiwajuishe wote,,kulipa deni ni hulka ya mtu,,kama mtu siyo mlipaji hata awe hategemei mshahara atakuzima tu
Asiwakope ama asiwakopeshe .... Ulisomea huu ujinga wapi Mkuu....Wasumbufu sana hao, usiwakope
Iko ni kiswahili cha iringa wanatumia ivyo kama natakaka kukopa kwako hela utasikia ana sema nikope 40000 hapoAsiwakope ama asiwakopeshe .... Ulisomea huu ujinga wapi Mkuu....
Una taka nigeuzia kibao
Pole mkuu
Af kuwadai kwa nguvu unaona jauUnakopesha wanaokumudu, ila ukimkopea unaemmudu lazima akilipe.
Akishapata mshahara wake, akifikiria wa kuanza kuwalipa akifikia kwako anajisemea "huyu nammudu ntampa mwezi ujao"
Badi ndio maana wanakuchukulia poa, hata mimi nisingeacha kukopa kwa mtu wa namna yako.Af kuwadai kwa nguvu unaona jau
Ah au sioBadi ndio maana wanakuchukulia poa, hata mimi nisingeacha kukopa kwa mtu wa namna yako.