Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hakuna nyumba isiyokuwa na mfanyakazi na mfanyabiashara. Nyinyi ni waelewa wa kinachoendelea kwetu nchini. Mmeumizwa sana!

Kwanini tutawalaumu? Ushindi wa kuleta mabadiriko uko mikononi mwenu uchaguzi huu. Kwa vipi? Kila mmoja akiwa na wapiga kura 100, basi mabadiriko tayari. Hapiti mtu! Hata akiiba , huwezi kuiba uwiano wa 100:1
 
Suala la Lissu kupata kura nyingi halina ubishi, tatizo lipo kwenye kutangazwa mshindi. Wapinzani wajipange mapema namna ya kujumlisha kura ili tume wakifanya yao nao wafanye yao.
 
wAPINZANI WAHAKIKISHE WANAPEWAHATI ZA KURA BAADA YA KUHESBU NA KUZITUMA DATA KWENYE TALLY ROOM YA CHAMA., TUKIVUUKA 50% YA KURA ZOTE TUNATOKA NJE KUELEKEA IKULU YA CHAMWINO . NA WENGINE TUNAKWENDA MAGOGONI KUNYEMELEA
 
Back
Top Bottom