KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

heryson wilson

New Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
3
Reaction score
3
Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba.

Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu. Halafu unasaini jina na saini, huku kwenye kiwango cha pesa na idadi ya siku za kufanya kazi wakijaza wao kwa kujipangia kupitia jina lako.
 
Kuna tuhuma nzito dhidi ya Kiongozi wa Wilaya kuhusu matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuwagawia baadhi ya wafanyakazi majukumu kwa misingi ya kutoa fedha, huku akiwaingiza ndugu na watu wake ambao si waajiriwa rasmi kufanya kazi za ofisi.


Inadaiwa kuwa watu hao humlipa fedha ili kuendelea kupata nafasi na majukumu hayo. Jambo hili linahitaji uchunguzi wa haraka na wa kina ili kubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria na taratibu za utumishi wa umma.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom