Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu.

Taarifa: Godbless_lema

Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku nyingi hatihati na Mshahara Kutoongezwa na ndiyo maana sasa Upigaji umerejea kwa Kasi kuliko ulivyotegemea.
 
Ni kama kwenye familia tu..mtoyo akiachwa bila kupewa mahitaji..atayatafuta kokote ili aweze ku survive.

Maisha yanazidi kupanda kila uchwao ila mishahara ni ile ile miaka 6 ilo pita..kwani wao ni wajinga eti eapige kazi kwa moyo wote wakati kuna washenzi wanasiasa wanaiba mali za umma.

Nao watumishi wa umma wameamua kula kwa urefu..maisha ya endelee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watumishi wa serekali majority yao ni wezi, wavivu. NI watu waliodumaa ambao akili zao zinawaza kupata pesa kiwepesi tu.

Unawakuta kila siku wao wanalialia kupandishwa mishahara lakini bidhaa madukani zikipanda kidogo tu unawakuta wanatoa povu kwa kuwalalamikia wafanya biashara kama vile ni watu makatili, Pumabav kabisa hawa watu. Ikiwa wao wapo desperate kupandisha vipatovyao kwanini na wenzao wakipambana katika kujaribu kupandisha vipato wao wanalalamika. NI watu maselfish wa jabu sana.
 
Back
Top Bottom