Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Mi nimeongelea kodi, swala LA biashara imekuwa ngumu/rahisi hayo ni mambo mengine.
Hoja ni kwamba employee makato ni makubwa sana ukilinganisha na kipato chao.
Kingine failure no 1 kwenye biashara ni kufuata sheria zote ikiwemo kulipa kodi 100%.
Anatafutiwa kivipi??. Everyone is doing their part in this economyHili jibu linamfaa sana, aache kazi afanye biashara kama hajafunga ndani ya mwezi[emoji3][emoji3]
Anajiskia raha kukunja kila mwez hela ambayo anatafutiwa na mfanyabiashara
Anatafutiwa kivipi??. Everyone is doing their part in this economy
Kwanza mimi sio mfanyakaz.Mfanyabiashara anaweza kuishi bila wewe, ila ww huwezi kupata huo mshahara bila yy kulipa kodi[emoji3]
Kwanza mimi sio mfanyakaz.
Pili wewe mfanya biashara katika biashara unayofanya wateja wako wote niwafanya biashara wenzio???
The so called wajasiriamali wengi naongeaga vitu bila kujua kuwa kuna forward and backward linkages kwenye uchumi
Usione wewe upo hapo kuna kitu mwingine a afanya ndo kinakuweka hapo, nahuto mwingine yupo hapo coz kuna kitu wewe unakifanya kinamuweka hapo alipo...huu uchum wote tunapigana tafu in one way or another...ukisikia mfanyakaz kanyimwa ongezeko la mshahara usimcheke ukadhan wewe umeokoka kisa wewe mfanya biashara it will directly affect you too
[emoji18][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wateja wafanyakazi ni less than 10% na ni less than 10 days kwa mwez
What do you do?Wateja wafanyakazi ni less than 10% na ni less than 10 days kwa mwez
Mashushu..Na wewe kama hujanielewa siwezi kutumia nguvu zaidi
Humu kuna wajuajia sana. Watu tunalipa Utitiri wa kodi kibao halafu mtu analipa PAYE anadai analipa kodi kubwa.Mashushu..
π π π π π msamehe babaHumu kuna wajuajia sana. Watu tunalipa Utitiri wa kodi kibao halafu mtu analipa PAYE anadai analipa kodi kubwa.
Kodi haipo flat rate, kwanza sidhani kama kuna mtumishi anakodi ndogo hivyo ya 10%10% Γ 2,000,000 = 200,000
200,000 Γ 12 = 2,400,000
ni 2.4M
Hamna namna mkuu lazima tunyongweKodi haipo flat rate, kwanza sidhani kama kuna mtumishi anakodi ndogo hivyo ya 10%
Serikalini kuna watumishi wanakatwa kodi mpaka 30%
nani kasema ni 10% au hii umeitoa wapi maana huyu anaongelea 2m mshahara10% Γ 2,000,000 = 200,000
200,000 Γ 12 = 2,400,000
ni 2.4M
10% ya 2M ni kiasi gani?nani kasema ni 10% au hii umeitoa wapi maana huyu anaongelea 2m mshahara
Withholding si huwa inarudishwa?Yaani mfanyabiashara alipe
30% Corporate tax
4.5% SDL
10% withholding tax on rent
10% Pension fund( Employer contribution)
18% VAT
10% Capital gain tax
0.3% Municipal levy
Halafu unasema mfanyabiashara analipa kiduchu? Hapo kuna fees kibao zinaenda brela, Sumatra kwa wenye vyombo vya usafiri, manispaa kwa ajili ya licences, huku kariakoo kuna watu wa manispaa kila mwezi wanapitia elf. 20 eti za usafi, yaani makato kibao mpaka unatamani kulia [emoji22]
Amini amini nakwambia mfanyakazi mwenye mshara wa 2M kwa mwezi kodi yake haipungui 3M kwa mwaka
Amini amini tena nakwambia mfanya bishara mwenye mtaji unaompa faida ya 2M kwa mwezi kodi yake haizidi 400k kwa mwaka.
''The income from your 5-9 job is taxed at a higher rate than any other form
of income''.
Over.
Nilimaanisha ivi employee kipato kidogo kodi kubwa in comparison to mfanya biashara annualy.Lakini pia mfanyakazi anao uhakika wa kupata iyo mil 2 kwa mwezi. Ila mfanyabiashara hana uhakika hata kidogo.tena kama biashara yake ina risk kubwa basi ana uhakika wa hasara pia mtaji kumeguka baadhi ya miezi.